Nahitaji Mwanamke awe nyumba ndogo

Nahitaji Mwanamke awe nyumba ndogo

lukinga01

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
440
Reaction score
406
Kama nilivyojieleza hapo juu.

Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto. Nitapendelea zaidi awa muajiriwa wa serikali au awe mwenye elimu ya kati na awe na ndoto za kuwa mjasiriamali.
 
Wanawake wa jf kama nilivyojieleza hapo juu. Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto. Nitapendelea zaidi awa muajiriwa wa serikali au awe mwenye elimu ya kati na awe na ndoto za kuwa mjasiriamali.

"UMFANYE" awe nyumba ndogo?!!😱
 
So sad..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom