huruma tena???kupanda cheo ni jambo la furaha.Hahahaah! Hadi namuonea huruma!
Hahahaa! lol.JF ina members wenye jinsia ya kike wawili tu
Kazi kwako
kwanini sasa unamuongezea bi mdogo???Mh! Kuna vyeo vingine ni msara bini msaraba. Unaweza kuwa kiongozi wa wachumia juani.
Kama siyo geni mshirikishe mkeoNdio kwani ni jambo geni?
Samahani mkuu, mimi ndiyo sitakiKwa hiyo wanao oa wake wengi hawako sahihi?Sema sikutaki sio hatukutaki!