Nahitaji mwanamke asiyezaa

Joel mi nataka mtoto km mwajuma
 
Jamani bado sijapata
Sasa unadhani utapata nani aliekubali kuwa mgumba umri huo???? Na kama ana uwezo wa kubeba mimbaa na unatamaa umkaangee losti yakeee bure bureee mzee unakwamaaa... tumiaa kinga kama hutaki watoto
 
Nina bahati mbaya sana hawa wagumba kwangu wanazaa fuleshi kabisa mpaka najiogopa the "chi" power ya mzigo
 
Nilotaka kuuliza unataka kuwafanyia nini hao wagumba ila naona hapo mwishoni umejihami kwamba sijui utafanya naye mambo ya kijamii,ingawa naona jibu lako halina uzito sana.
Isije ikawa unataka kuwafanyia michezo kama wanayofanyiwa albinos.
Kama lengo ni kufanya mambo ya kawaida ya kijamii unaweza kufanya hata na mabinamu zako maana lengo kuu la ndoa ni kuzaa watoto.
Pia kuna mdau mmoja amekushauri ubadilishe heading iwe "unatafuta mwanamke asiye na malengo ya kuzaa" maana hata wagumba nao wana malengo ya kuzaa.
 
Very nice....ata mie natafuta mwanamke asie taka kuzaa mambo ya kulea na kulipa school fees siyataki. Nataka tugegedane na tusafiri tuu mwisho tuzikane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…