Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Kingereza Arusha

Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Kingereza Arusha

nyamakonya

Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
8
Reaction score
16
Ninahitaji ku improve Kingereza changu kwa sababu nafanya kazi sipati muda wa kujiunga na chuo. Kwahiyo nilikuwa nahitaji msaada wa kupata mwalimu wa kuwa ananifundisha hasa wakati wa jioni. Niko Arusha.

Nahitaji msaada wenu.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Niko mwanza Ila January I will be hapo Arusha . So uta improve tu mkuu. Namie napenda kufundisha mtu kitu mana Ni Aina nyingine ya kusoma ama ku gain something.kama vipi nicheki nianze kukupa abc
 
Back
Top Bottom