My story
Member
- Jun 9, 2019
- 23
- 3
Habari wanaJF,
Leo acha nifunguke ukweli katika maisha yangu nilipenda sana kusoma ila kutokana na mambo yaliyojitokeza mwaka 2006 nikawa nimeacha shule na nilikomea darasa la sita. Kwahiyo, kuanzia kipindi hicho nikaamua kutafuta pesa maana ndoto za kuendelea na shule zilifutika kutokana na sababu ambazo sitapenda kuzieleza hapa.
Nimejitahidi sana kujifunza lugha hii ya Malkia kwa kiwango fulani.
Ila kutokana na ubusy wa kazi zangu nimeshindwa kuendelea kuwa English kozi.
Kwahyo natafuta mwalimu wa hii Lugha nitakayekuwa naongea nae tu muda wote kwa muda wa miezi mitatu najua kuwa nitakuwa nimeiva.
Nimependekeza Kenya sababu wao hii lugha hujifunza tangu shule za awali kwahiyo nina imani kuwa itakuwa rahisi zaidi kuelewa.
Kwa muda huo ataishi kwangu na huduma zote zitakuwa juu yangu.
Pia, nitamlipa mshahara tutakaokuwa tumelelewana. Ila ningependa umri wake awe chini ya 25 sababu sipendi kumwajiri ambaye tuko sawa kiumri au kanizidi.
NB: mshahara si tatizo.