Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
599
Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma,Morogoro,Tanga,Moshi au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano yangu ni: 0774 205159
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma,Morogoro,Tanga,Moshi au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano yangu ni: 0774 205159

karatu arusha vp?
 
mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mji wa kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka dodoma,morogoro,tanga,moshi au mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano yangu ni: 0774 205159
nkasi mkoa wa rukwa je?
 
Mkoa wa Rukwa ni mbali. Nahitaji kuwa karibu na familia yangu ndio maana nimetaja mikoa hiyo niliyoorodhessha.
 
NiPM ili tuongee vizuri ndugu.
 
Tuwasiliane ili tuongee vizuri. Nitumie no. yako ili tuongee vizuri
 
Suala muhimu ni mawasiliano.
 
Anayehitaji kuja Kahama mjini awasiliane nami 0774 205159
 
Kuna mshkaj yupo Mchambawima Znz nikuunganishe nae?
 
mie nipo kinondoni. sijui patakuwa karibu na familia yako?
 
Kama unamaanisha unachoongea, wasiliana nami kwa namba niliyoweka. Kama unaongea unachomaanisha mm sina la kuongea zaidi. Lkn nakushukuru kuwa mwanachama hai wa JF.
 
Kama unamaanisha unachoongea, tuwasiliane kwa namba niliyoweka. Kama unaongea unachomaanisha mm sina la kusema. Lkn nakushukuru kwa kuwa mwanachama hai wa JF.
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari.
Nipo mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka
Dodoma,Morogoro,Tanga,Moshi au Mtwara ili tubadilishane vituo.
Mawasiliano yangu ni: 0774 205159

anayetaka kubalisha kutoka DSM TO TANGA MJINI 0753326995
 
Anayetaka tubadilishane DSM yeye aje mkuranga pwani tuwasiliane 0716293260
 
Mwambie awasiliane nami kwa 0774 205159
 
Tuwasiliane kwa 0774 205159
 
Tuwasiliane kupitia simu niliyotoa 0774 205159
 
Back
Top Bottom