Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo,
na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo je kuna athari zozote kwenye bodi ya mikopo 2025 2026
Hapo kuna utaka.
Middle name ni muhimu sana viambatane . Yaani hapo inamaana wewe ni mtoto wa kulwa na si mtoto wa Frank.
Hapo cha msingi badili cheti cha kuzaliwa. Katengeneze kingine maisha yasonge.
Au uishi hivyo hivyo, ukikutana na watu wanoko watakusumbua. Ukikutana watu wa kawaida walio busy sio issue maisha yataenda.. 45YY
Ni kweli kwa sasa bodi hikitaka kuthibitisha taarifa wanaendea eneo jina lilipo yani kama nisehemu ya baba wanasoma jina la baba na wanaringanisha na fomu uliojaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.