Nahitaji mume

Nahitaji mume

Tulips

New Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
1
Reaction score
5
Habari wana JamiiForums!

Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa mtu wa karibu maishani mwangu. Nina miaka 29, ni Mkristo, ninafanya kazi katika shirika binafsi na nina elimu ya Diploma.

Nahitaji mwanaume. Awe mkristo, preferably RC, awe na shughuli inayomuingizia kipato, mrefu na awe na umri kuanzia miaka 31-39.

Tafadhali, aliye serious naomba ani PM.
 
RC tu ndio nimekwama ila ni mkristo, kwingine kote fresh.hapo vip dada?
 
Zammiluuni Zammilluuni haya ni maneno ya kiarabu yenye maana ya Nifunikeni Nifunikeni.
Mkuu ulimaanisha hivyo? Usihofu, nataka kujua tu.
Marahaba Mkuu.. kwa heshima na taadhima umepatia swaha !! Kusema ukweli hata hii lugha kiswahili ni maneno ya kiarabu...sema lafudhi zetu ndiyo mparaganyo !!
najaribu kujifunika na mahasidi !!
 
Multiple I'd at work
Post ya kwanza unatafuta mume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom