Nahitaji mume..

Nahitaji mume..

Queen Horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
414
Reaction score
317
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri
 
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.
 
Sifa zote ninazo lakini mke wa pili inabidi uwendeshe kampuni yangu mshahara 1ml laki mbili tu kazi kwako
 
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.

wakati akuendelea kulea kichanga awe tayari kupokea mke mwenzake, maana hakuna kupumzuka hadi wafike wanne , kwa kadili ya maadili ya dini ya kiislam
 
Cio mbaya cz ntakuwa aware kuliko kutoka na kwenda kumjengea kimada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom