Nahitaji mume sio mchumba

Nahitaji mume sio mchumba

Refrector

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
187
Reaction score
118
1. Awe mkristo

2.Awe graduate

3.Awe na umri aidi ya miaka 32

4.Awe tayari kupima afya

5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa

6.Awe mrefu wa futi 6.

7.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
 
Aa wapi!
Nafit vigezo vyote! Ila sikubali hali nipime baadhi ya vitu kutoka kwako!
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia
toa nawe sifa ulizonazo tupate kujua how much you worth! halafu hujasema akiwa na sifa hizo akutafutaje?
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia
Wajihi wako please.
Pia ni yepi mapungufu yako?
Kwenu mna magonjwa ya aina gani? Kichaa, kifafa , sicle cell etc
Unamjua Mungu? Je una hofu naye..
Mila matambiko kwenu vina nafasi gani?
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia

Hata wenzio walikuwa na vigezo hivyohivyo hasa no. 2,5 na 6 age ilipokuwa below 24,hawakuona ukitu,ilipofika above 30 wakapunguza vigezo mara ooh yeyote tu muhimu awe na upendo nako hawakuambulia,mwishowe wakasema hata zee tu likitokea linioe,halikutokea mwishowe wameishia nyumba ndogo,na kupigwa mimba.Utasubiri sana kwa vigezo hivyo labda umuombe Mungu tu akusaidie akupe mme anaye kufaa.
 
Achia contacts basi tukusome, ikiwezekana tag picha yako tukutathimini kabisa
 
Sifa zote ninazo lkn nami ningependa nitest hiyo nani hiiiiii".......... !!! Si unajua yaweza kuwa haiendani na ninayotaka Mimi. Pia toa contacts zako tutafutane. Kununua mbuzi kwenye gunia is not an issue. You know!!?
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia

Vigezo vyote ninavyo ila sijui nitakupataje tuweze kuonana,mimi naishi dar wewe je?
 
Kila mtu anahitaji vigezo vyake nawe ni vipi unavihitaji viweke
 
umejiunga jana leo hii unapost unatafuta mchumba.nahisi utakuwa ni member mzoefu hapa ndani umeamua kuja na id nyingine
SNAG-14031411430500.png

anyway mi nahisi pia cha msingi na wewe ungeweka sifa zako ukoje ili uwarahisishie watu watakaokufuata maana mtu anaweza akakufuata akategemea uko hivi kumbe uko vilee inakuwaa mmepotezeana muda
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia

Kwanini tu usijaribu kuwasiliana na Mungu akamuumba huyu kwaajili yako tu?
 
ID yako nyingine ni ipi?
au unafanya research
kila la heri
 
Aisee hua mnafikiria nini kutafuta wachumba mitandaonii,hua mnanishangazaa!!!tena hayaa banaa
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia

haya masharti yooote awe nayo mwanaume????

aisee.... mtasubiri sana!!

geaduates wenyewe wanasaka non graduates! sasa hali itakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom