Nahitaji mume serious

Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.

Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.

Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu

Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu.
Sina mahusiano na baba mtoto wangu kiufupi maisha yamenipiga viboko sana kwahiyo nilijifunza vingi

Mimi ni mama bora wa familia pia mchapakazi.

Mume ukiwa na mtoto mmoja au wawili itapendeza.

Mume uwe unafanya kazi au biashara.

Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.
Picha na dini
 
Ila harmonize 👐
 
Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.n

Nipi-PM na Mimi ningiie kwenye kura za maoni...
 
Hapa ndio pamefanya niishie nilipoanzia single mother hamsahau Baba wa mtoto wake any time Jamaa anarudisha majeshi kuja kuendeleza alipoishia kuibonyeza HIO Mbunye, anaetaka kujilipua acha ajilipue tu

Midekoo uje mara moja
Alipoishia?😃😃😃😃😃
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom