Nahitaji mume miaka 40-75

Hawa wajinga huwa wanaokota okota picha waje wadanganye hapa watu wawapige pesa.
Eti anatafuta mume,
Na wameshajua wazee wetu 40+ huwa wanatoboka sana, anajua akisema 25+ vijana wanaazimana magari πŸ˜…
 
Huyu ni mwanaume ila anajifanya mwanamke. Hizi picha kaziokota huku



 
Acha utapeli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…