mrembomzuri
Member
- Mar 23, 2025
- 5
- 39
Mimi naitwa nurdin vigezo vyote ninavyo sema unataka ndoa ya serikali ama ya namna gani siwezi acha tunda zuri la apple kama wewe...🥰Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 45-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp.......
==>> 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 45-75 USINITAFUTE.
Tunda zuri ni papai mkali.tunda zuri ni nani mi hata simjui mi nimebabaika na mrembo huyo...😂
🙄Tunda zuri ni papai mkali.
Ndio maana unaona tunafanya kazi ila hata kujenga inakua ngumu😁Mmnh
Nina wasiwasi huyu mleta uzi anazo id zaidi ya mbili na zote kajoin btn 23 march mpaka 1 April. Na nyuzi zake ni zilezile anatafuta mume na pichazake anazoweka ni hizohizo kwenye mabandiko yake yote Zeena Salum Saffiyyah Ramadhan mrembomzuriKuna kasauti kananiambia I'd ya kiume hii.
View attachment 3297521
Hahaha🤣🤣Kila la kheri mwaya.
Japo huu uzi umefanya nikumbuke miaka ya nyuma kuna jamaa aliwahi kujiita Boss Lady.
Naye alikuwa anajitupia ka hivi. 🤣
Hahahaha hichi ni kidume , yani kuna I'd ukitulia tu unajua kabisa .Huu uzi umefanya nikumbuke miaka ya nyuma kuna jamaa alikuja hivi hivi ye alijiita Boss Lady. 🤣🤣
Kwakweli naonaNdio maana unaona tunafanya kazi ila hata kujenga inakua ngumu😁
Rafiki nakusalimia. 🤣🤣Hahaha🤣🤣
Salamaleko rafiki🙋🏽♀😂, watu wana hekaheka sana humuRafiki nakusalimia. 🤣🤣