Nahitaji mume kutoka Arusha au mikoa ya jirani

mi mwanamke wa miaka 28 mweusi, mfupi, mnene kiasi

Nipo Arusha nafanya kazi office binafsi.

Nahitaji Mume Mkristo
miaka kwanzia 30-35
awe mrefu, mweupe au maji ya kunde, awe na shughuli kuingiza Kipato na awe hana ndoa wala mtoto ila mmoja c mbaya.

Vyema Zaid kama atakuwa Arusha au mkoa jiran. Aliye tayar anitafute kwa email elikanabahati394@gmail.com... pm hapana.
Karbu.
 
Usidanganywe na lafudhi yetu dada, hatupo romantic, pili usidanganywe na vile tunapambana kwenye maisha huwa hatujali sana furaha ya familia.

Nshakuambia, ukipuuzia shauri yako.
 
Elikana ni mmeru au mmachame maana sisi wakibosho hatuoi iyo type 😆😆😆
 
Mume mwema hutoka kwa Mungu na sio jf wala mitandaoni. Sisi enzi zetu ukitaka kuoa we nenda kanisani mara kwa mara. Wallah utaona chaguo la moyo wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom