Nahitaji mume aliye serious na maisha

Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni.

Asante sana na Mungu awabariki
Twende Pm wangu, mimi niko verified kabisaa 🥰
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom