Nahitaji mtu wa kunitengenezea application for Android phone

El'son

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
380
324
Habari zenu

Natumai mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu. Nahitaji mtu anitengenezee application ambayo itaweza kupatikana kwenye play store. Hivyo yeyote ambaye ana uwezo huo anaweza kunijuza na kutoa maelekezo kuhusu gharama zake.

Natanguliza shukrani kwenu nyote

Asantheni
 
Hiyo app unayotaka kutengenezewa inahusiana na nini mbona hujaeleza
 
Kwa mahitaji ya vitu vinavyohusiana na designing iwe,website ,app,automotive systems nk nicheki 0687525650 bei ni karibu na bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom