Nahitaji mtu wa kunisaidia kupata kazi

Nahitaji mtu wa kunisaidia kupata kazi

dunyeru

Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Nipo mbeya mjini nahitaji mtu atakae nisaidia kupata kama upo tayar nichek 0710404474
 
Nipo mbeya mjini nahitaji mtu atakae nisaidia kupata kama upo tayar nichek 0710404474
Hujasema kazi gani ndugu
Hujasema kiwango chako cha elimu mkuu

Sasa tutakusaidia vipi ndugu.
 
asee kwa fursa zilizopo tz kusingekua na haja ya kusaka ajira kiasi hiki
 
Habari za sasa wakuu? Nami pia nahitaji msaada nipate kazi. Nina Bachelor Degree ya Logistics management..
With 1 year working experience.
Napatikana Mwanza, but I can work anywhere.
Ntashukuru kwa msaada.
Mawasiliano yangu ni 0764622243
 
Wakuu msaada wenu tafadhali
Tushazunguka sana na bahasha lakini mambo hayaendi vizuri
 
Kiukweli siahidi mengi kwa msaada ntakaopewa bali ntaomba Mungu/Allah awazidishie baraka, heri na fanaka katika maisha.
 
Habari za sasa wakuu? Nami pia nahitaji msaada nipate kazi. Nina Bachelor Degree ya Logistics management..
With 1 year working experience.
Napatikana Mwanza, but I can work anywhere.
Ntashukuru kwa msaada.
Mawasiliano yangu ni 0764622243
dah!!! pole sana mona waito!!
 
Mcheki huyu jamaa atakusaidia kasaidia wengi kupata kazi na hata waajiri kawatafutia sana wafanyakazi 0658-154647
Huo Utapeli Unaofanya Wa Mwaka 47,eti Upewe 10,000 kwanza kwa ajili ya mawasiliano,wewe ungeweka mtaji hiyo ten ungeweka baadae mtu huna hata ofisi kwanza ww mwenyewe muuza maneno tu mjini acha basi ,hapa umejipigia pande,
 
Umerazimishwa wapi utoe. Akutapeli elfu kumi imfikishe wapi. Ujanja na maneno maneno mengi hata mkiingia maofisini mnaenda kufarakanisha na negative altitude kama yako. Kila kitu unahisi unatapeliwa hata ungefafanuliwa hadi asubuhi. Mpigie akusaidie kuprint, kupiga photocopy, kutumia mb zake, atumie vocha na usafiri wake bure kwa ajili ya kukuhangaikia kidume wewe kwa muda wa mwezi mzima.Kukaa kimya nayo ni busara
 
Back
Top Bottom