Nahitaji Mtalaam wa Ku-design Cover ya Kitabu Changu

Nahitaji Mtalaam wa Ku-design Cover ya Kitabu Changu

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
799
Mwenye Utalaam na Ujuzi wa kutosha wa ku-design cover za vitabu na pia kufanya editing ya kitabu na kukiandaa tayari kwa printing tuwasiliane. Ani-pm na kunipa namba yake ya simu ili tuwasiliane. Hii ni kwa wale tu waliopo Dar es salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom