Nataka kufanya marekebisho flani kwenye nyumba, tayari architect amekwishafanya michoro sasa ninatafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya ujenzi, site ipo salasala.
mtu anayeweza au mwenye interest aniPM ili kama vipi jumapili twende tukaangalie kazi na nipate makadirio yake
tukielewana kazi itaanza mapema
Nami naungana na aliyetaja ana fundi asiye na degree. Nami ninaye ambaye alinijengea nyumba yangu na kurekebisha banda langu
Ni mzuri lakini hana degree. Sifa yake kubwa ni UAMINIFU haibi kitu chochote.
No yake ni 065 39 64 211 - Anaitwa Kidevu
Kwa haraka haraka mafundi wote waliopendekezwa hapa ni waaminifu...sasa ni nani wanaoibia wajenzi? ni vibarua? au inawezekana kabisa watu hawaibiwi ila wasi wasi tu.. mi nadhani huwa hamuibiwi acheni woga, mafundi wote ni waaminifu, haswa hawa wasio na madegree!!:israel::israel: