Nahitaji mtaalamu wa computer hardware.

Petro Oswald

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
2,394
Reaction score
1,918
Laptop yangu imekufa mkanda wa display, km kuna mwenye utaalamu na masuala hayo anicheki PC nataka kufanya replacement ya mkanda.
 
HIVI umesoma tangazo lako au ombi lako kabla huja post kutaka msaada? Utakosa msaada hv hv,`elezea shida iko wapi na uwe kweli hujui kitu sio unasema MKANDA wakati hujui tatzo ni nini..kama ni mkanda sema ni wa wapi na sehemu gani KUSEMA mkanda tu haitoshi kusaidiwa..hamna mtu mwenye muda wakuja kukuuliza kama navyokuuliza hapa.
Nilipe kwanza mkuu..
 
Mkanda wa display mkuu ila umeandika kwa hasira sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…