Mtafutaji 1990
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 105
Tutaongea mamyy naomba ni connect mkuuutanilipa nini?
Tutaongea mamyy naomba ni connect mkuu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jogoo mweusiutanilipa nini?
Njoo pm mkuusawa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jogoo mweusi
Yaani upate pesa halafu usitombe...E nje huo utakuwa uzwazwa wa kiwango cha lami..Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui
Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
Mboka Tabora au??........kuna jamaa angu yupo huko anapasifia mno kwa Mambo ya kifundiYupo fundi mmoja kule maeneo ya mboka manyema anaitwa Sheikh Mwafirwa jamaa ni Noma aisee.
Nenda Tanga hutokosa wataalamu kule.Wakuu habari za jioni, bila shaka hapa JF hitaji langu linaweza tatuliwa. Nimekuja kuomba kuelekezwa niwapi nitampata mgaga mtaalamu wa ndagu za machimboni.
Nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayejua mganga mwenye uwezo wa kunitimizia hitaji langu nahitaji kwenda machimboni, kutafuta pesa ya maisha kupitia ndagu za machimboni. Naomba mwenye kujua wapi naweza timiza lengo langu njoo PM kwa mawasiliano zaidi unipe muongozo maisha ni kujilipua jamani.
Tafadhali kila MTU na Iman yake kama iman hii haikuhusu pita kimya ila kwa wajuzi wa mambo haya karibuni nahitaji msaada wenu