Nahitaji Mtaalam wa Interior Design/simulation

Nic..

Senior Member
Jul 22, 2014
145
160
Nafanya Events Planning, Nahitaji kufanya Simulation za Events kama HArusi nk kabla ya tukio lenyewe..

Nahitaji mtu atakayeweza kunitengenezea floor plan, ceiling, arrangement ya viti, maua, lightings, colors etc.

Kwa ajili ya kuwaonyesha wateja wangu kabla ya kuanza kazi fulani

NAomba niPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom