Nahitaji msichana wa kufanya kazi za nyumbani

Solarpanel

JF-Expert Member
Oct 9, 2012
235
38
Habari za leo, kama kichwa kinavoelezea, ninahitaji hilo kama una ndugu jamaa au rafiki anaehitaji kazi hiyo ni pm tuwasiliane. Niko moshi mjini, pia kama kuna mwenye link za hao watu anaweza nisaidia kunipa angalau namba za simu.

Majukumu ni ya kawaida kabisa na bado kwa nilipo kimaslahi siwezi mlipa zaidi ya elfu 50.

Asanteni najua wenye kauli chafu wapo nawasubiri pia kwa comment zao.
 
Back
Top Bottom