Nahitaji msichana wa kazi

Nahitaji msichana wa kazi

Peace92

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
261
Reaction score
58
habari wakuu!nahitaji msichana wa kazi za ndani nipo njombe town.mshahara maelewano.asanteni
 
Hapo njombe kuna wachapakazi mahili na ndo wanawasjibka huko jijini Dar, sasa inakuwaje wewe uliehuko utafte kupitia online na je wa Dar watafanyaje kuwapata????
 
Hapo njombe kuna wachapakazi mahili na ndo wanawasjibka huko jijini Dar, sasa inakuwaje wewe uliehuko utafte kupitia online na je wa Dar watafanyaje kuwapata????

ntawapataje sasa jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom