Habari Zenu Jina langu ni Juma Jumanne, KIJANA Mfanyabiashara wa Mazao SINGIDA
Nilianzisha Kampuni Yangu (LYANGA FLOUR MILLERS) ya kusindika unga lishe, Sembe na Dona, lakini Biashara ilisimama kwa sababu sikua na Mashine yangu Binafsi na sababu zilizo nje Ya Uwezo Wangu
Kwa sasa nina KIWANJA changu pia nimejenga JENGO la MASHINE, nimenunua mashine Yangu nimekwisha IFUNGA Kila Kitu sjaaanza kazi Bado sijavuta UMEME sina PESA ya PAMOJA ya kuvuta umeme na MTAJI umekata.
Nilipoenda kuomba MKOPO BANK nimekosa wanataka BIASHARA ianze kwanza.
Ombi langu:
Nipate MTU au MKATABA wa kushirikiana ili nianze KUSINDIKA na KUUZA UNGA, kwa sababu nina uzoefu na wateja tayari ninao
Huyo Patna awe tayari kuwekeza angalau kuanzia MILIONI TATU 3
Namba Yangu: 0626825468