Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
No. Walivyokuwa wameshuka nilikaa kimya sikuhama. Sasa hivi wanapeta am the loudest.lmao
Nyie mnatushikia tu nafasi (warming the place for us)...THE BLUES!
No. Walivyokuwa wameshuka nilikaa kimya sikuhama. Sasa hivi wanapeta am the loudest.lmao
Siku 30 tu unatafuta pakumwaga manii, ingekua miaka 3 si ungeoa kabisa wewe?
bila kugoogle wala kuuliza...ntajie wachezaji wa 5 wa gemu ya juzi bila kujali nambaNo. Walivyokuwa wameshuka nilikaa kimya sikuhama. Sasa hivi wanapeta am the loudest.lmao
umeassume au unajua services inayopatikana? imeandikwa aombaye samaki hawezsi kupewa nyoka!wazinzi utawajua2 ushaur gan sasa acha izo bwana muogopeni muumba wenu
Sasa wajameni eti Arsenal tuna points ngapi?
Simba 3- 1 Yanga
wanashycom mnaikumbuka butiama?