Nahitaji msaada

Nahitaji msaada

Kidasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
309
Reaction score
109
Wazee wa JF,Nategemea kwenda kikazi Shinyanga kwa takribani siku 30,wakuu mnaoijua vema shinyanga sehemu gani ambazo kuna viwanja vya kupoozea mihemko ya mwili.Please let me know wadau
 
Wazee wa JF,Nategemea kwenda kikazi Shinyanga kwa takribani siku 30,wakuu mnaoijua vema shinyanga sehemu gani ambazo kuna viwanja vya kupoozea mihemko ya mwili.Please let me know wadau

Mkuu mbona hiyo simple tu google utajua.
 
hahahaha... Karucee bana, unashabikia zinazoshinda tu.
 
Last edited by a moderator:
ila cheza kwa step usimkanyage mwenzio...........................!
 
Asante kiongozi,angalau pa kuanzia nimekupata,siku 30 bila mambo yetu yale ni ngumu sana

Sio mambo yetu mkuu, hayo ni mambo yako we umejuaje kama unayo yafanya wewe kila mtu ndio anayo yafanya?
Hahahahahahaha uwiiiiiiiiiiiii unajifariji upate support ya kufanya hayo mambo yako kazi unayo kweli kweli na hizi stori zako za fb.
 
Siku 30 tu unatafuta pakumwaga manii, ingekua miaka 3 si ungeoa kabisa wewe?
 
Back
Top Bottom