Nahitaji msaada

Asante dada! Na hiyo hypothesis anaenda kuipata kutoka kwa prosoective study group! Maybe dissertation ya chekechea,tusibishe coz sie tulimaliza by coursework na hatukuvaa majoho
Hatua la mwisho la dissertation ila ndio bado unadefine hypothesis? be serious...
 
wadau desertatio yenye bado cjaisubmit bado ni roughwork,hizo critics mtoazo c on mantik yake,kama huwez kunipa source ucdharau study yangu mkuu,2heshimiane
 
Mabibo hostel,HALL 7,4,3 na musewe Jinja road,Nakarero,Kisenyi,KIU-K'LA BRANCH,OWINO and Capital pub.
 
Wewe hujasema uko wapi unaomba uelekezwe njia. Mimi nakushauri ukimaliza hiyo, kafanye masters mombasa kule ni rahisi sana, kule ukiuliza njia hauelekezwi ila wapelekwa uendako, ukiomba chenji ya hela, wapewa chenji nakisha hela yako warudishiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…