Ngelimunyama
Member
- Oct 28, 2012
- 56
- 0
Wadau ningsumbuliwa na tatizo la kuongezeka kwa korodani langu la upande wa kulia pamoja na mrija wakupitisha manii, sasa naombeni mnieleze hi inasababishwa na nini?
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us