Nahitaji msaada wenu

vuvu

Member
Mar 6, 2011
8
0
Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na nikamueleza ukweli sijawahi kukutana na mwanaume sijui yeye hakunielewa ila niliumia sana. Ikafika mahali tukaachana ila tulikuwa tukikutana kimwili hata sioni umuhimu wake. nikapata mwingine ikawa hivyo hivyo, sasa imefikia mahali nina umri mkubwa sana kwa sasa 33 na sijui raha ya kufanya tendo la ndoa imefika mahali nikaenda hospital wanasema sina tatizo lolote. Ninakuwa na hamu kweli ya kuwa na Bf wangu na pia hata tukiwa kitandani ninahamu naye sana ila akiingia tu wala sisikii chochote sijui raha wala nini kama wengine wanavohadithia. Dr mmoja akanishauri nikifika nyumbani nijichezee mwenyewe akanielekeza kweli nilifanya na nikasikia raha sana, tatizo tu nikiwa na mr na ninampenda sana ili kutomkatiza tamaa inabidi nijifanya tayari. Tafadhali nisaidieni maana kama romance anafanya sana na ninakuwa tayari kabisa kuingiliwa na mimi ndo namuomba aingie maana nakuwa nimezidiwa ila cha ajabu akiingia tu hata sisiskii raha ya aina yoyote mpk anamaliza. Hembu nisaidieni na kama unamjua Dr mzuri atakaye weza nitibu nitashukuru. tafadhali msiniponde ndo hali yangu ilivyo nisaidieni.
 
I guess tatizo lako liko kisaikolojia zaidi!Mawazo yako bado yanabaki kwenye siku ya kwanza ambayo haikutokea kwa hiari yako!!Ukiwa na mtu wako wa sasa hivi jaribu kurelax...ondoa hofu maana inawezekana hua unajiandaa kabisa kua disappointed!So jaribu kutokua na mawazo hasi...mpe mpnz wako nafasi yote kwenye akili yako at the time...jiruhusu kufurahi utaona mabadiliko!!Oh kama ukiendelea kuhitaji kuonana na daktari awe Psychologist na sio wa aina ambayo umeshaonana nayo tayari!Kila la kheri!
 
Nashukuru Lizzy kwa mchango wako. Nitajitahidi kutokuwa na mawazo nione itakuwaje
 
Nadhani hiyo ni normal na wala huna ugonjwa wowote ila jaribu kwanza kusahau nini kilichotea mara ya kwanza,maana mawazo yako umeyaweka sana kwenye ili first day..utaenjoy tu...
 
Hapo mpendwa huna tatizo lolote ni mawazo yale ya siku ya kwanza tu. Hebu ni PM nikuulize maswali fulani mimi niliwahi kuwa na tatizo km lako
 
kama usikii chochote hebu ntafute mimi hope utajanisahau kamwe...........

mmmh,mipango mji wee,ameshakwambia anae mtu wake.vuvu mimi nitaku pm,maana mambo mengine ni too private kuyaelezea humu,na mimi nilikua hivyo hivyo,nitakuelezea kitu gani kilinisaidia
 
@ Kisukari....si ungeweka hapa hayo maujuzi ili wote tufaidi na wenye tatizo kama lake nao wafaidike???mie nahisi katahiriwa huyu :spider:
 
@ Kisukari....si ungeweka hapa hayo maujuzi ili wote tufaidi na wenye tatizo kama lake nao wafaidike???mie nahisi katahiriwa huyu :spider:

ningeelezea humu,ila humu kuna watu wa age tofauti itakuwa sio vizuri kwani ni mambo ya chumbani
 
May be ulikuwa na mawazo ya masimulizi uliokuwa ukiyasikia b4 kuhusu mavituzi. Jaribu kuondokana na hayo mawazo ya kusikia kuhusu hii shughuli.
 
umewai kuoga na maji ya bahar???????? Juz kidn. Dada tatzo lako c kubwa uwe unatuliza mawazo yako nadhan lack of conc. Ndo chanzo..
 
@ Kisukari....si ungeweka hapa hayo maujuzi ili wote tufaidi na wenye tatizo kama lake nao wafaidike???mie nahisi katahiriwa huyu :spider:

Kuna kila dalili kuwa kakeketwa huyu!!!!:A S 13:
 
Alichosema hapo lizzy ni safi kabisa jaribu hiyo ikishindikana itabidi umueleze mpenzi wako kwamba unasikia raha akikufanya hivi na vile nzuri zaidi ushajaribu home na imefanya kazi mwambie ajaribu vile inaweza saidia
 
Kuna kila dalili kuwa kakeketwa huyu!!!!:A S 13:

Hamna hajapata tu mzizimaji wa uhakika, na nyie wanaume ukikuta ambae hana maujuzi, kidogo tu utasikia hidhoooo, tayari kamaliza, au vile sekunde mbili tu tayari hapo hakuna cha raha wala nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom