Nilifanya application ya vyuo nikafika hadi mwisho wa admission process ila nimesahau pasword nikaingiza user name,m pesa verification code,namba ya sim niliyotumia na email ili kupata pasword yangu naambiwa not regestered rudi home page kufanya application nikirudi huko nikifika ile hatua ya kuingiza ile m pesa verification code naambiwa ishatumika katika usajili tena na namba na email yangu so nitumie user name na psword niliyopewa kuingia sasa sielewi inakuaje hapa nisaidieni tafadhali
Tumia number za simu zilizopo kwenye homepage yao kuwasiliana nao. wakupe maelekezo zaidi ya kupata hizo password. Pole sana mkuu japo itakuwa si rahisi katika kuwapata