Nineahirisha kukuuliza mkuu, maana nahisi kama nitakukera kama sio kukuudhi aiseeeee.......Karibu ndugu ukiona nachelewa kujibu ni kwasababu nashindwa kuingia humu muda wote.
kaka si wewe tu, baadhi ya makampuni ya Madini na NGO's zimenyimwa leseni za kuoperate hapa nchini zimefunga, watu wanahaha kutafuta kazi nyingine, tatizo sasa ukiwa abave 40 ni sheshe mno kupata kazi - Umri.kazi niliyokuwa nafanya ile kampuni imefunga business na inarudi nchini kwao maana hapa upepo wa biashara sio mzuri(hawapati faida na wanatumia gharama kubwa kwenye expenses kama mishahara na kadhalika) hivyo imepelekea kupunguza wafanyakazi zaidi ya robo tatu hadi sasa.
.
kwa uandishi wako wewe ni jinsi ya kike..Habari ndugu zangu natumaini mambo yanakwenda kama yalivyopangwa na mwenyezi Mungu. Niende kwenye point moja kwa moja, kazi niliyokuwa nafanya ile kampuni imefunga business na inarudi nchini kwao maana hapa upepo wa biashara sio mzuri(hawapati faida na wanatumia gharama kubwa kwenye expenses kama mishahara na kadhalika) hivyo imepelekea kupunguza wafanyakazi zaidi ya robo tatu hadi sasa.
Hivi sasa nipo mtaani nahangaika kutafuta kibarua kingine. Nilipokuwa nimepanga ambapo nilijitahidi kununua vitu kadhaa vya ndani, mwezi uliopita walinivunjia nikiwa sipo na kuiba vitu karibu vyote na kesi ipo polisi, hivi sana nakaa kwa ndugu hapahapa Dar.
Tatizo kubwa ni hapa ninapokaa kila siku huyu ndugu analalamika na nikikosea kitu hata kwa bahati mbaya anasema niondoke na ni mzigo kwake, yeye ameolewa na ana watoto.
Kiukweli inafika sehemu naona maisha magumu sana na mzazi wangu mmoja aliyebaki(mama) ni mzee hafanyi shughuli yoyote ya mimi kumtegemea yeye zaidi ananitegemea pia.
Elimu yangu ni degree ya maswala ya IT na uzoefu ninao wa kutosha, nisaidieni nipate sehemu ya kujishkiza kwa muda wakati ninaendelea kupambana kwani naamini muda si mrefu nitafanikiwa na nitarudisha chochote nitakachosaidiwa.
Naweza kufanya kazi nje ya kazi za IT na pia hata mikoani naweza kwenda, ninajua lugha 3 Kiswahili, English na French.
Asanteni, naombeni maswali mengine nitayajbu PM au mnipe mawasiliano zaidi.
Kujua lugha tatu haina faida kwa kazi ya IT, labda ungesema unajua programming language 3. OK kwa kweli maisha ya sasa yamechafuka, enzi zetu mtu akiwa na certificate ya IT tena toka chuo uchwara cha mtaani anakuwa na soko kuajiriwa hata kujiajiri lakini sasa hivi mtu na digirii yake tena ukute toka chuo kinachotambuliwa lakini hawezi kuajiriwa wala kujiajiri.Habari ndugu zangu natumaini mambo yanakwenda kama yalivyopangwa na mwenyezi Mungu. Niende kwenye point moja kwa moja, kazi niliyokuwa nafanya ile kampuni imefunga business na inarudi nchini kwao maana hapa upepo wa biashara sio mzuri(hawapati faida na wanatumia gharama kubwa kwenye expenses kama mishahara na kadhalika) hivyo imepelekea kupunguza wafanyakazi zaidi ya robo tatu hadi sasa.
Hivi sasa nipo mtaani nahangaika kutafuta kibarua kingine. Nilipokuwa nimepanga ambapo nilijitahidi kununua vitu kadhaa vya ndani, mwezi uliopita walinivunjia nikiwa sipo na kuiba vitu karibu vyote na kesi ipo polisi, hivi sana nakaa kwa ndugu hapahapa Dar.
Tatizo kubwa ni hapa ninapokaa kila siku huyu ndugu analalamika na nikikosea kitu hata kwa bahati mbaya anasema niondoke na ni mzigo kwake, yeye ameolewa na ana watoto.
Kiukweli inafika sehemu naona maisha magumu sana na mzazi wangu mmoja aliyebaki(mama) ni mzee hafanyi shughuli yoyote ya mimi kumtegemea yeye zaidi ananitegemea pia.
Elimu yangu ni degree ya maswala ya IT na uzoefu ninao wa kutosha, nisaidieni nipate sehemu ya kujishkiza kwa muda wakati ninaendelea kupambana kwani naamini muda si mrefu nitafanikiwa na nitarudisha chochote nitakachosaidiwa.
Naweza kufanya kazi nje ya kazi za IT na pia hata mikoani naweza kwenda, ninajua lugha 3 Kiswahili, English na French.
Asanteni, naombeni maswali mengine nitayajbu PM au mnipe mawasiliano zaidi.
Hili Swali sikia tu ameulizwa mwenzio!Wakati unafanya kazi ulijiwekea akiba kiasi gani ili tukuoneshe pa kuanzia?
Vijana wengi wanapoajiriwa hawajiongezi kufungua vitegauchumi vya kuongeza kipato, hawaweki akiba ya kuwakomboa kujiajiri siku kibarua kikiota nyasi.Hili Swali sikia tu ameulizwa mwenzio!
Swali gumu sana