Duu,unapenda dezooo,dezooo!!!Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.
Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe inafungua internet free...please nielekeze. Nitafurahi sana nikipata ujuzi.
With Thanx!
Acheni majungu,nyie sio wanateknolojia!!!Kama huwezi kumsaidi,PIGA KIMYA!Duu,unapenda dezooo,dezooo!!!
Hajaomba ushauri wa matumizi ya pesa,kama teknolojia hii imekupitia mbali,PITA!Oya acha mambo hayo 2mia pesa ikuzoee!!
Mkuu,wataalam wata ku pm soon,hapa ndio jukwaa la TECH,usisikilize hao wanasiasa!Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.
Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe inafungua internet free...please nielekeze. Nitafurahi sana nikipata ujuzi.
With Thanx!
Sio kwamba ninapenda dezo, no! Huku chuoni life la kununua bundle linachosha. Kuna watu wengi wamechakachua na wanatumia internet free kilasiku. Tatizo ni kuwa maujanja ya kufanya sina. Nawashukuru walioniPM. Mungu awabariki.
nipo tayari.
hamna ya airtel au tigo? Voda upuzi tu mtandao waozipo line 3 zenye life net za voda!!!ila huwezi kupiga!!Na moja inauzwa laki moja na nusu swali je mimi ntakuamini vipi kama wewe ni mhitaji kweli??hapo ndo penye mgogoro!!:spy:
hamna ya airtel au tigo? Voda upuzi tu mtandao wao