Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Sasa unataka tukujibu kitu gan we mdada?

Umeshasema kwamba kwenye mahusiano yenu ulikuwa humsumbui kabisa, akikupigia simu we unaona poa na asipokupigia simu pia unaona poa

Unakuwa busy na mambo yako,

Sasa umetuambia kashakuchana kwamba ametafutiwa mke ila unajua kwamba kakudanganya

Sasa unashindwa nini kujiongeza.

Na kakwambia kabisa ukimpata mtu wa kukuoa uolewe sasa unataka ushaur gani hapo?

Au kwakuwa kakwambia hata ukiolewa hakuachi ndio unachanganyikiwa?

Sasa we olewa halafu m cheat uyo mwanaume aliyekuoa uendelee kugegedwa na uyo x wako

Unaona kabisa kwamba unachezeleka halafu bado unakuja kutuuliza hard shit hizo

Yeye hakuoi ila anataka akugegede kila anapokuwa na shida na ww

Hata ukiolewa aendelee kukutomb... tu sasa we amua mwenyewe uendelee kumcheat jamaa atakayekuwa amekuoa kwa sababu ya uyo boya wako au veep

Umeandika kingereza mwenyewe tunakuona msomi matokeo yake unatuuliza maswali hayana hata msingi

Jibu sasa ni hili, hata ukiolewa endelea kumpa tu na uyo x wako aendelee kukugegenda

Ukiachika rudi umu jukwaan waoaji wengine tupo
 

[emoji24]
 
Ukidate na Mbwa basi wewe ni Mbwa Jike.

Hao wanaume mnawazoa wapi?

Hata kama ni uongo Mwanaume anayejielewa haweza kuthubutu hilo neno kwamba Mama kanichagulia wa kuoa.

Umepigwa kwa kukurupulia hawa ma Handsome wanakula na kulala kwa mama zao.

Hata ukute anafanya biashara hukuta ni ya Mama yake au Baba yake yeye hana mcjango wowote.

Sasa nyie mkiwaona mnawakimbilia.

Pole Mdogo wangu amekupotezea muda.
 

Sio mtoto wa mama bwana [emoji2]
 
Pole sana,sometimes you need to stay out of love to be happy,Jipende sana jipe muda qa kupumzika kujaribu vitu vipya,Usiwe idle,Ukimaliza kazi ger your game or mazoezi maisha yatasonga tu rafiki.huenda angekuumiza kwenye hatua ngumu na kubwa zaidi ya hiyo.Kuwa mtu wa kushukuru .
 
Vingereza vingi......in reality its not True.....unakimwaga kama vile unayaweza.

Mkuu hayana Mwongozo
 

Ndo unanifokea ivo?
 

[emoji4][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…