Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,565 Reaction score 781 Apr 26, 2015 #1 Hivi unaweza kuhoji juu ya "status" yeyote ya mpenzi wako?
k29 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 742 Reaction score 1,264 Apr 26, 2015 #2 Kwa vile ni mpenz wako cdhan kama ni vibaya
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,565 Reaction score 781 Apr 26, 2015 Thread starter #3 k29 said: Kwa vile ni mpenz wako cdhan kama ni vibaya Click to expand... Kwamfno ameandka stats whatsp kua Mic him ...unaweza kuhoj au ??
k29 said: Kwa vile ni mpenz wako cdhan kama ni vibaya Click to expand... Kwamfno ameandka stats whatsp kua Mic him ...unaweza kuhoj au ??
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,857 Reaction score 113,317 Apr 26, 2015 #4 Okol36 said: Hivi unaweza kuhoji juu ya status yyte ya mpenz wako ?? Click to expand... Mfano akiweka picha ya mchepuko wake kwenye profile, alafu kwenye status akaandika R.I.P Shemeji....!!
Okol36 said: Hivi unaweza kuhoji juu ya status yyte ya mpenz wako ?? Click to expand... Mfano akiweka picha ya mchepuko wake kwenye profile, alafu kwenye status akaandika R.I.P Shemeji....!!
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,565 Reaction score 781 Apr 26, 2015 Thread starter #5 Mh ...hapo itabd uwe attention mana naamin huo mchepuko unaweza ukaffka alaf ikawa madhara
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Apr 27, 2015 #6 Okol36 said: Mh ...hapo itabd uwe attention mana naamin huo mchepuko unaweza ukaffka alaf ikawa madhara Click to expand... Hahahahaha nadhan itakuwa mwisho wa dunia.
Okol36 said: Mh ...hapo itabd uwe attention mana naamin huo mchepuko unaweza ukaffka alaf ikawa madhara Click to expand... Hahahahaha nadhan itakuwa mwisho wa dunia.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,747 Apr 27, 2015 #7 mmh status kaandikaje kwani
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 419 Apr 27, 2015 #8 Sio mbaya lakini ujue akijua kama unasoma jitayarishe na madongo ukimtibuaa, sasa chamsingi Fanya kama huna time na husomi kabisaaaa..
Sio mbaya lakini ujue akijua kama unasoma jitayarishe na madongo ukimtibuaa, sasa chamsingi Fanya kama huna time na husomi kabisaaaa..
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,565 Reaction score 781 Apr 27, 2015 Thread starter #9 rubii said: mmh status kaandikaje kwani Click to expand... Et mic him
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,565 Reaction score 781 Apr 27, 2015 Thread starter #10 Asabaya said: Sio mbaya lakini ujue akijua kama unasoma jitayarishe na madongo ukimtibuaa, sasa chamsingi Fanya kama huna time na husomi kabisaaaa.. Click to expand... Ok Ok ...BT nmeamua kuchna kbngwa
Asabaya said: Sio mbaya lakini ujue akijua kama unasoma jitayarishe na madongo ukimtibuaa, sasa chamsingi Fanya kama huna time na husomi kabisaaaa.. Click to expand... Ok Ok ...BT nmeamua kuchna kbngwa