Nahitaji msaada wa kuomba scholarship

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Habari na poleni na majukum marafiki. Najitokeza kuomba msaada kwa mjuzi yeyote aliyetayari kunisaidia kuomba scholarship kusoma nje, vigezo vyote ninavyo isipokua kuna mahala nakua nakwama hivyo ningependa msaada kufanikisha dhamira yangu, kwa alie tayar karbu pm na uwe muaminifu. Posho iPo ukinifanikishia Asante
 
Ngja waje watu walengwa watakusaidia tu
 

Umechelewa nenda haraka kawaone Globa Education Link, ni kitendo cha kufumba na kufumbua wanakuwa tayari wameshakupeleka Ulaya na Scholarship juu. Link yao hii hapa chini:

Global Education Link | Agency of Overseas Education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…