Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

sijambo mkuu
Pole sana aggy, nilishasoma sana nyuzi zako kipindi cha nyuma, kwa namna ulivyokuwa mstari wa mbele kupambana kiuchumi kwa kuuliza na kudadisi mambo ya ujasiriamali. kwa kweli nimesikitika sana kwa magumu unayopitia kipindi hiki, pole sana Mungu ataweka mkono wake na kukupa wepesi.
Naomba katika hiyo michango ikiwezekana utafutiwe na hiki kifaa kikusaidie katika tatizo la foot drop bei haizidi 50,000/= kwa mitandaoni.

Ntajitahidi namimi kuchangia chochote kabla mwezi haujaisha.
 
asante mkuu..nkifanikiwa ntakitafuta
 
Pole sana kwa matatizo, nafikiri bado haujafikia lengo. Nimekutumia kitu kdg kupitia CRDB Mungu akusaidie ushinde jaribu hili.
 
Mwenyeezi MUNGU mwingi wa rehema atakufanyia wepesi,ila ni vema ungeweka na namba za simu pesa ili tuweze kukuungiaungia(harambee).
 
Pole sana kwa matatizo, nafikiri bado haujafikia lengo. Nimekutumia kitu kdg kupitia CRDB Mungu akusaidie ushinde jaribu hili.
asante mkuu kwa mchango.ubarikiwe!
 
Mwenyeezi MUNGU mwingi wa rehema atakufanyia wepesi,ila ni vema ungeweka na namba za simu pesa ili tuweze kukuungiaungia(harambee).
amina mkuu..
namba zangu zipo ukurasa wa kwanza.ni hizi
0624 108319
0710 078018
 
Pole kwa kuugua. Ulitibiwa kwa Dokta Njenje?
nlitibiwa muhimbili tu.MD ni wengi lakini specialist ni mmoja tu ila haitwi njenje.vipi huyo anapatikana wapi na anaweza kumaliza hili tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…