Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

Namfahamu huyu binti. Ni kweli anachoongea.
 
Pole dadangu. Nadhani weka namba tutakusaidia kwa chochote maana naamini unaumwa kweli na sio utapeli. Lakini pia naomba wadau tusikie kilio cha memba mwenzetu na kwa anayejua hizo dawa za mitishamba basi amfuate na kumweleza
 
Unahitaji hela ya bima ya afya? Kuna mahali umesema imesitishwa?
nimetaja bima mbili tofauti..kuna bima kwa ajili ya watu wa kipato cha chini inaitwa AFYA WOTE ndo wakanijibu wameisitisha.iliyopo ni JCARE ambayo unalipia premium kutokana na umri wako.
 
Kwako wewe ndio 700k?
 
Nakutakia kila la kheri Aggyjay.

Natumai pia unaendelea vizuri.
 
Pole dadangu. Nadhani weka namba tutakusaidia kwa chochote maana naamini unaumwa kweli na sio utapeli. Lakini pia naomba wadau tusikie kilio cha memba mwenzetu na kwa anayejua hizo dawa za mitishamba basi amfuate na kumweleza
asante naweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…