Lau_boy7
Member
- Sep 28, 2015
- 21
- 4
Ndugu zangu naomba msaada wenu nahitaji kua na huduma ya CTV (cable tv) sasa sielew hat pa kuanzia ni zipi gharama zao na ni nini faida yake na hasara ni channels ngapi zinaoeshwa na ni kwa malipo ya kiasi gani napenda sana michezo na movies nimechoshwa na gharama za DSTV tafadhar nahtaj msaada wenu wana JF