Nahitaji msaada wa kisaikolojia

Ngoja kwanza inamaana hujawahi kutamani mwanamke kabisa kabisa??
 
Habari wanajukwaa?

Kwa umri nina miaka 24, kama kichwa cha habari kinavojieleza matatizo yangu yalianza baada ya kumaliza form 4 2010.

Kipindi namaliza form 4 bado niko innocent and pure, sijawahi kuwa hata na gf wala sikuwahi kufanya ngono nikaajingiza katika janga la mitandao ya kijamii kutafuta mwanamke. Nilianza na mtandao wa eskimi ambao huo huo uliniletea balaa hili.

Nikiwa nishapata girls wawili watatu wa kuchat nao na kupigiana simu ila kuonana nao ilikua mbinde maana nlikua sina kitu, kukawa na mshkaji mmoja pia nachat nae huyo mshikaji akaanza kuniletea vishawishi kuhusu mambo ya kumla goti. Jamaa alitumia ushawishi wa hali ya juu kwa kuchat na mimi kunifanya niweze kutamani kumla goti bila hata kuonana, huku mazoea na wale girls yakapungua mi nikawa nachat na mshkaji daily.

Siku ya kwanza tulionana Morroco kwenye burger, jamaa ni shombeshombe umri kwenye 30s alikuja na gari. Baada ya kula burger na juisi nikaingia kwenye gari mpaka kwenye apartment yake Upanga, tukiwa njiani aliweza kunichezea nyeti zangu na kunitia mshawasha na baada ya kuingia huko ndani ndo ikawa siku yangu ya kwanza, kuzini, kula goti na kuingia katika dhambi kubwa kabisa.

Toka siku hiyo mshkaji ndo akawa kama mwanamke wangu, kwa kutumia ushawishi wake wa mali na utoto wangu alizidi kunitumia kwa kuniita kila akijiskia na kunifanyisha vitendo vichafu, nilienjoy sana pamoja na kusahau kabisa kuhusu wanawake na kuwa homosexual completely.

Baada ya matokeo kutoka na kuchaguliwa kuendelea A-level shule fulani hivi ya boarding, mawasiliano yalikata mimi na mshkaji kwakuwa nilikua sina simu ila kipindi cha likizo ilikua kama kawa. Tuliendelea na tabia hiyo chafu tena kwa ufanisi zaidi pale nliporudi Dar kuendelea na chuo hapo ndo nikahamia kwake kabisa tena na kujisahau kama mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanamke nikawa hata nkicheki porno basi ni za gays. Kwakuwa mshkaji pia alikua anafanya siri na huwezi kumjua kwa sura basi mambo yetu yakawa chinichini bila kujulikana.

Mpaka mwaka jana Mungu alipoamua kuniadhibu, chuo nlifeli nikashindwa kuendelea, rafiki wangu wa karibu alinistukia na akanitenga na kuntangazia, wazazi hawajui ila wamenichukia sana kwa kufeli chuo, mambo yangu yote yalikata nikawa nimefulia sina hata mia. Cha kusikitisha zaidi ni huyo mshkaji alieniiingiza kwenye haya yote alifariki kwa ajali mwaka jana pia, baada ya hayo yote nikaamua kumrudia Allah na kutubu na kulia sana na kujuta sana hatimaye mwaka huu nikapata kazi ya kujishikiza.

Tatizo nililonalo sasa hivi ni kuwa nimeshaathirika na uhomosexual. Nikiwaza chochote kuhusu ngono nawaza kumla mwanaume mwenzangu sababu sina memory ya kudo na msichana na kwa wasichana kusema kweli ni domo zege na wala sina mpango nao.

Nahitaji msaada niweze usahau kabisa uhomosexual na kuwa pure na niwe kama wanaume wa kawaida. Nahitaji msaada wenu wakuu sitaki nife mchafu.

Asanteni sana.
Hili tangazo la biashara ungelipeleka BADOO,huko utawapata wengi sana.
 
Hata Mimi naamini mungu ameniokoa nisije haribikiwa zaidi,na namuomba asinirudishe Tena licha ya majaribu
I pray that you are doing well brother. ..ubarikiwe sana. ...soma BIBLIA TAKATIFU kitabu cha ZABURI 20 ....
 
Pumbavu zako, miaka 24 ulikuwa na utoto gani??

Endelea hivyo hivyo kuliwa lofa mkubwa wewe
 
umerukia kucomment kabla ya kusoma..ficha upumbavu wako na uoneshe busara zako.
 
Habari wanajukwaa?

Kwa umri nina miaka 24, kama kichwa cha habari kinavojieleza matatizo yangu yalianza baada ya kumaliza form 4 2010.

Kipindi namaliza form 4 bado niko innocent and pure, sijawahi kuwa hata na gf wala sikuwahi kufanya ngono nikaajingiza katika janga la mitandao ya kijamii kutafuta mwanamke. Nilianza na mtandao wa eskimi ambao huo huo uliniletea balaa hili.

Nikiwa nishapata girls wawili watatu wa kuchat nao na kupigiana simu ila kuonana nao ilikua mbinde maana nlikua sina kitu, kukawa na mshkaji mmoja pia nachat nae huyo mshikaji akaanza kuniletea vishawishi kuhusu mambo ya kumla goti. Jamaa alitumia ushawishi wa hali ya juu kwa kuchat na mimi kunifanya niweze kutamani kumla goti bila hata kuonana, huku mazoea na wale girls yakapungua mi nikawa nachat na mshkaji daily.

Siku ya kwanza tulionana Morroco kwenye burger, jamaa ni shombeshombe umri kwenye 30s alikuja na gari. Baada ya kula burger na juisi nikaingia kwenye gari mpaka kwenye apartment yake Upanga, tukiwa njiani aliweza kunichezea nyeti zangu na kunitia mshawasha na baada ya kuingia huko ndani ndo ikawa siku yangu ya kwanza, kuzini, kula goti na kuingia katika dhambi kubwa kabisa.

Toka siku hiyo mshkaji ndo akawa kama mwanamke wangu, kwa kutumia ushawishi wake wa mali na utoto wangu alizidi kunitumia kwa kuniita kila akijiskia na kunifanyisha vitendo vichafu, nilienjoy sana pamoja na kusahau kabisa kuhusu wanawake na kuwa homosexual completely.

Baada ya matokeo kutoka na kuchaguliwa kuendelea A-level shule fulani hivi ya boarding, mawasiliano yalikata mimi na mshkaji kwakuwa nilikua sina simu ila kipindi cha likizo ilikua kama kawa. Tuliendelea na tabia hiyo chafu tena kwa ufanisi zaidi pale nliporudi Dar kuendelea na chuo hapo ndo nikahamia kwake kabisa tena na kujisahau kama mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanamke nikawa hata nkicheki porno basi ni za gays. Kwakuwa mshkaji pia alikua anafanya siri na huwezi kumjua kwa sura basi mambo yetu yakawa chinichini bila kujulikana.

Mpaka mwaka jana Mungu alipoamua kuniadhibu, chuo nlifeli nikashindwa kuendelea, rafiki wangu wa karibu alinistukia na akanitenga na kuntangazia, wazazi hawajui ila wamenichukia sana kwa kufeli chuo, mambo yangu yote yalikata nikawa nimefulia sina hata mia. Cha kusikitisha zaidi ni huyo mshkaji alieniiingiza kwenye haya yote alifariki kwa ajali mwaka jana pia, baada ya hayo yote nikaamua kumrudia Allah na kutubu na kulia sana na kujuta sana hatimaye mwaka huu nikapata kazi ya kujishikiza.

Tatizo nililonalo sasa hivi ni kuwa nimeshaathirika na uhomosexual. Nikiwaza chochote kuhusu ngono nawaza kumla mwanaume mwenzangu sababu sina memory ya kudo na msichana na kwa wasichana kusema kweli ni domo zege na wala sina mpango nao.

Nahitaji msaada niweze usahau kabisa uhomosexual na kuwa pure na niwe kama wanaume wa kawaida. Nahitaji msaada wenu wakuu sitaki nife mchafu.

Asanteni sana.
Wewe Makonda akikujua anakufunga kabisaaaaaa tena lile gereza la visiwa vya Cuba.

Mimi huwa Sina ushauri wa aina yeyote kw watu wapumbabu kama wewe. Na hata kama ukipata wa kukushauri still hii dhambi itatutafuna mile na mile. Na usipokuwa makini hapa utapata wahauri wa kukuingiza cha kike ili uendeleze ka mchezo Kako Kwa sababu wapumbavu kama wewe hapa pia wapo.

Utanambia, yeyote atakayekwambia sijuhi ni PM ujue umrpata bwana mwingine
 
kusema kweli walioniPM wote ni wanawake,vp ulikua unauliza ili uniPM nn?maana inaonekana kama unaulizia ili uje wewe PM?
 
Kwanza Hongera Kwa kukubali una Matatizo.
Muhimu NI kumrudia MOLA wako muombe akunyooshe kwenye njia iliyo nyooka.
Ukiwa kwenye njia iliyo nyooka NI vigumu kufanya maasi ya namna yeyeto.Kama utafanya hivyo hauhitaji dactari.
Nakuombea dua MwenyeziMungu akufanyie wepesi katika maisha yako.
 
mrudie mungu wewe,unamhitaji mungu zaidi kuliko huo msaada wa kisaikolojia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom