Nahitaji msaada wa kiroho

Nahitaji msaada wa kiroho

Ctr

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
505
Reaction score
228
Ndugu zangu wapendwa,

Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila jambo ninapolifanya popote nilipo limekuwa likifahamika na watu hao wanaonifuatilia kila sehemu nitakayokuwepo.

Yaani Kwa kifupi nimekuwa Kama kituo cha televisheni kinavyofatiliwa.

Siku moja nilikutana na mtu mmoja alinishangaa sana na katika mazungumzo alianza kuelezea kwa kuuangalia tu uso wangu alinisikitikia Sana na kuniambia tayari kuna watu tayari wameshaniunganisha na mtandao wao hivyo kila ninachokifanya wanafuatilia na tayari wameshaniweka katika target ya kuniondoa katika ulimwengu huu.

Nimekuwa nikiyaona baadhi ya matukio yanayoashiria hicho kilichosemwa hapo, vilevile hata hali yangu kiuchumi imeshuka hata imefikia hata mke wangu nimemrudisha kwao.

Nimejaribu kuonana na wachungaji mbalimbali Kwa ajili ya maombezi vilevile nimekwenda mpaka kwa waganga WA kienyeji lakini imeshindikana na imeonekana wamekuwa wakituma hata watu kunifuatilia mpaka huko kuleta ushawishi nisipate huduma.

Vilevile kumekuwa na matukio njiani kuona michoro mbalimbali na vitu vya kuogopesha ninavyotembea, vilevile kuna mmoja alipata kuniambia kuwa kwa dada wanapanga kunifungulia mashtaka ili kuniweka chini ya mikono yao.Kumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo nakumbana nayo Kama moyo kwenda mbio, kuwa na wasiwasi muda wote.

Nimeyaandika haya kwa nia ya kuomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia ili kutatua tatizo hili kwani naamini katika jukwaa hili kuna watu makini ambao natarajia naweza pata Masada katika masuala haya
 
Ya Kaisari muachie Kaisari na ya Mungu Muachie Mungu! Usichanganye wachungaji na Akina Sangoma;
 
Pole sana mkuu.
Uko mkoa gani??

Inaonekana una macho pia ya rohoni.
Kama unayo muombe Mungu akuonyeshe maagano uliyounganishwa nayo kwanza.
Ukishayafahamu na kuyavunja unachotakiwa ni kuomba maombi ya kuvunja hiyo madhabahu wanayoitumia kukufuatilia.

Baada ya hapo ndipo uaanza kupambana na mapepo.

Uko mkoa gani??
 
Pole sana ndugu. Hali kama hiyo inaweza kukupata kwasababu mbalimbali kama vile kuwahi kujihusisha na vikundi vya kihalifu, vikundi vya waabudu shetani (satanic cults); au pengine umekuwa mtu mzuri tu mwenye kusali sana na kupigana na nguvu za giza lakini bila kuwa mkamilifu.
Vilevile yawezekana upo katika hali fulani ambayo ulimwengu wa giza unakuona unafaa katika kazi zao, yaani ulimwengu huo unataka ushirikisne nao kwenye mambo yao maovu. Kwa sababu wewe haupo tayari kufanya hivyo basi ndio maana wanakusumbua.
Yawezekana kuna historia ya kujihusisha na masuala ya giza kwa mtu katika familia yako kama vile baba au mama, na anataka na wewe uingie huko, nipe taarifa kama ni hivyo.
Kabla sijakueleza cha kufanya nipatie zaidi historia yako hasa kuhusu mambo yako ya kiroho na ya wanafamilia yako ikiwa ni pamoja na Imani zenu.
 
Dodo

Dodoma
 
Kwa kifupi familia yangu ilihangaika sana na imepoteza pesa kwenda sehemu mbalimbali kwa waganga wa kienyeji ili niondokane na hili tatizo, kama ingelikuwa labda kwa wazazi ndo wahusika wasingenihangaikia matibabu imefikia hata familia yangu wanashindwa kufanya shughuli zingine za kuingiza kipato, mama mzazi amekuwa ni mwenye masikitiko muda wote, upande wa kiimani wote wako vizuri
 
Pole sana mkuu.
Uko mkoa gani??

Inaonekana una macho pia ya rohoni.
Kama unayo muombe Mungu akuonyeshe maagano uliyounganishwa nayo kwanza.
Ukishayafahamu na kuyavunja unachotakiwa ni kuomba maombi ya kuvunja hiyo madhabahu wanayoitumia kukufuatilia.

Baada ya hapo ndipo uaanza kupambana na mapepo.

Uko mkoa gani??
Kwa kuongezea mkuu hili tatizo lilianza kidogo kidogo kama miaka 2 na huu ni 3 ila kwa kipindi hicho sikuweza kutambua kama nina Hali hiyo ila baadhi ya matukio mengi yalikuwa ni ya kushangaza utakuta naongea na simu na mtu wa mbali lakini utashangaa watu mtaani wanazungumza yale yote niliyokuwa nayaongea hivyo ilipelekea kuongea kugombana na marafiki zangu na pengine kuhisi kuna mtu anahack mawasiliano yangu nikaenda mpaka polisi lakini kwa bahati mbaya sikupata ushirikiano wowote wao wakadai ninamhisi ni nani ananifanyia jibu likawa gumu maana huwezi muhisi mtu bila ushahidi hivyo nikakwama
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Nakuomba uende Mirembe uonane na madoctor . Kuna psychiatrist anaitwa Dr Damas ana cliniki kila juma nne. Nenda umuone utapewa dawa utarudi hali yako ya kawaida Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni upotofu na kutokuwa serious kwa sababu hujui uzito wa yanayo mkabili mwenzio tafadhali jifunze zaidi.
 
Kwa kuongezea mkuu hili tatizo lilianza kidogo kidogo kama miaka 2 na huu ni 3 ila kwa kipindi hicho sikuweza kutambua kama nina Hali hiyo ila baadhi ya matukio mengi yalikuwa ni ya kushangaza utakuta naongea na simu na mtu wa mbali lakini utashangaa watu mtaani wanazungumza yale yote niliyokuwa nayaongea hivyo ilipelekea kuongea kugombana na marafiki zangu na pengine kuhisi kuna mtu anahack mawasiliano yangu nikaenda mpaka polisi lakini kwa bahati mbaya sikupata ushirikiano wowote wao wakadai ninamhisi ni nani ananifanyia jibu likawa gumu maana huwezi muhisi mtu bila ushahidi hivyo nikakwama
Watu wanaofanya kazi katika ulimwengu wa giza wanapenda “kuajiri” watu wenye tabia au vipaji fulani na kuwatumia katika mambo yao. Mfano watu wenye akili sana, watu wenye moyo mgumu, watu wasiri, watu wepesi kujifunza na jasiri n.k.

Nahisi unatafutwa kwa sababu hizo nk. Ila usiwe na hofu utapata uhuru wako manake Mungu anaweza yote. Tafadhali niambie kuhusu dini yako na pia kama umewahi kufikiwa na mtu au watu wakitaka ushirikiane nao katika jambo fulani na wewe hukuafiki au uliafiki bila kujua. Jaribu kukumbuka. Pia nieleze kama unaota ndoto mbaya hasa ukiwa sehemu usizo jua na watu usio wajua.
 
Nenda kwa Nabii Hebron Arusha utapona siku hiyo hiyo.
Note:usipookoka na kubatizwa utapona lakini baadae matatizo yatarudi upya sababu hautakuwa na ulinzi wa Yesu Kristo.
Kesi nyingine?
 
Back
Top Bottom