Nahitaji msaada wa haraka

kayaman

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
4,517
10,369
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu wa kitaalam mke wangu hajaziona siku zake (kuingia bleed) kwa miezi miwili sasa, mara ya mwisho ilikua tar 20 Jan tulipia kwa kipimo cha kununua tukihisi labda ana mimba ila haikuwepo tukaamua kwenda kupima hospital nako hatukukuta mimba, tunapata wasiwasi labda ni tatizo naombeni ushauri kwa mwenye uzoefu wa hali kama hii.....
Asante!
 
Huwa inatokea, sio tatizo kwa wanawake.pengine ni kutokana na stress,mazingira na sababu nyingine kama hizo.
 
Back
Top Bottom