miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
...nakunywa pombe sana ili niliwe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...
asante mkuu nataka kuponaPole sana miss chagga
asante kakaAisee, para ya pili noma sana!!
Pole sana miss chagga.
Mchagga na pombe sijawahi ona. (Ngoja washauri waje)
habari zenu wakuu.
ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili niliwe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
hapo naweza kuelewa sasa nifanyaje ?Utakuwa na ugonjwa wa ukichaa au kwa jina la Kizungu wanaita Bordeline Personality Disorder (BPD) nakushauri kama upo Bongo uende kwa Kitila Mkumbo yeye ana PhD ya psychology labda atakusaidia kidogo lkn ni ngumu sana kupata tiba yake hapa Bongo kwani hatuna hawa Wataalamu!
Nilishwahi kuwa na demu mwenye huo ukichaa, hivyo najua ninachokiongelea!
Wanasema hii inatokana na madhara ambayo uliyapata wkt ukiwa mtoto, labda ulibakwa au kuteswa kwa ujumla ulikosa mapenzi utotoni ambapo mtoto wa kawaida hupata ktk kwa Wazazi au Walezi vile vile kuna kurihti wengine hurithi huo ukichaa ulio nao hivyo angalia kwenye familia yako kama mna asili ya ukichaa basi hapo na wewe utakuwa umerithi na hapo hakuna kitu utafanya, ningekushauri usianzishe mahusiano ya kimapenzi ili kutokuwadhuru wengine!
mapenzi yana maudhiUnatakiwa upewe penzi zito toka kwangu zitaisha
toa basi kaushauri kidogo kabla sijakutafuta naombaNatafute nikufanyie cancelling
hapo naweza kuelewa sasa nifanyaje ?
Kwanza una stress, unahitaji kuwa na mtu karibu sana, aonyeshe mapenzi na ukaribu hata usipokuwa nae awe karibu ki mawasiliano, mengine mpaka tukionana lakini ulienae ameshindwa kucover hiyo nafasi.toa basi kaushauri kidogo kabla sijakutafuta naomba