Nahitaji msaada wa chuo cha kusomea software development / Software programming

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
1,092
Reaction score
522
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software.
Nina elimu ya 1st degree,nipo compent ktk networking "CCNA Holder" sasa nataka nijikite zaidi na ktk programming,mana huko naona ndiko kuna clients wengi.
 
Ahsante sana mkuu,nitatembelea hiyo site.
Hilo ndio lengo langu haswa,niwe na ujuzi wa kudevelop application software.
Chuo tulipigwa just kupata abc za programming.
ukifanya practice utakuwa fit hata ukienda hizo courses am sure bado utahitajika kufanyia mazoezi
na kufanya project ndogo ndogo.ushauri wangu ni kama una basic ya programming language tafuta project
simple ifanye ukishindwa kitu una google.
 
Kwani Networking haina clients Mkuu?

Inayo,tatizo kazi yake inahitaji uwepo wa watu (Technicians) wengi ktk kuikamilisha na pia hata uwe na capital/cash at hand ili kuianza na ndipo baadae client anakulipa wkt kazi ishakamilika kwa % kadhaa.
Ila software development ni just ww na pc ako plus internet.
 
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software.
Nina elimu ya 1st degree,nipo compent ktk networking "CCNA Holder" sasa nataka nijikite zaidi na ktk programming,mana huko naona ndiko kuna clients wengi.

Check na IIT au LearnIT ni wazuri katika software development
 
ukifanya practice utakuwa fit hata ukienda hizo courses am sure bado utahitajika kufanyia mazoezi
na kufanya project ndogo ndogo.ushauri wangu ni kama una basic ya programming language tafuta project
simple ifanye ukishindwa kitu una google.

Weekend hii nitawacheki wale jamaa(Hosana) na pia nitaanza rasmi kujisomea programing kwa msaada wa tutorials (videos & ebooks).
Nitarejesha feedback humu JF mkuu..
 
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software.
Nina elimu ya 1st degree,nipo compent ktk networking "CCNA Holder" sasa nataka nijikite zaidi na ktk programming,mana huko naona ndiko kuna clients wengi.

Take a look on www.alphonce.net

This is IT video training site, I actually have everything you described. The video training packs covers all you need to become a programmer
 
Thank my friend. I hope through that, it will make my dream of being a programmer to be come true.
 
Ahsante sana mkuu,nitatembelea hiyo site.
Hilo ndio lengo langu haswa,niwe na ujuzi wa kudevelop application software.
Chuo tulipigwa just kupata abc za programming.
Tumepause kwa muda, kina event tunaandaa kisha tutaendelea. Information zote zitakuwa shared at the right time
 
Back
Top Bottom