Olodungoroi
Member
- Feb 5, 2017
- 55
- 25
Na diabetes inanyorodosha mwili haswaaa! Aende tu akafanye checkup zaidiPsychological effects.
Diabetic mellitus
Cancer
Nilipoona nazidi kupungua kila siku nikahisi labda ni HIV nikaenda kupima nikakuta sina, hapo nikatulia baada ya miezi kadhaa nikaona hakuna mabadiliko nikaenda kupima tena, nimeshapima kama mara nnemkuu kbla ya kwenda kupimapima huko ulishawahi kwenda hospitali kwajili ya hio issue? maana c HIV pekeee inayoweza kongesha mtu condition nyng tu zaweza fny hvyo
Asante mkuu, itabidi nikafanye tu check up, je hiyo check up inakuwaje maana sijawahi pima nasikiaga tuInawezekana life kwa ujumla ni burden kwako., achana na mawazo, diet wala pesa., Maisha unayoishi Yumkini hujaridhika nayo., Ama Pengine ungependa uishi kama somebody but currently yu are not., Ama umeshindwa kutimiza matakwa flan ya moyo wako., Kiufupi Kutokuridhika na maisha uishio sasa na Saikolojia yako inakataa kukubali uhalisia..!!
Kama sivyo bhas kafanye checkup ya kina zaidi kuhusu mwili wako Mkuu..!!
Nikifanya checkup itaonyesha hadi hiyo diabetes ?Na diabetes inanyorodosha mwili haswaaa! Aende tu akafanye checkup zaidi
Asante ndugupole sn, nakushauri uende tena hospital ukaonane na specialist aweze kukupa ushauri yawezekana kuna tatizo.
Ndio... Ata ukienda hospitali za kawaida wnakupima tu haichukui ata dakika mbili. Tena kipimo kwa huku kwetu ni elfu mbili.Nikifanya checkup itaonyesha hadi hiyo diabetes ?
ndio maanq nakudshauri uonane na daktari coz akipata medical history sahihi yeye atafaham upime vipimo vipi na vipi, ukisema tu uanze kuhangaika na vpmo kwanza utasumbk mno na kuingia gharama coz huna idea na mambo ya kimedical.......unaweza kuwa na minyoo,hiv,diabetes, cancer au ukawa tu na psychological issues so mkuu tafuta tu physician mzuri utapata suluhu wala usitumie shortcut za kwenda kupima tu moja kwa mojaNikifanya checkup itaonyesha hadi hiyo diabetes ?
Asante sana, nikienda hizi hospitali za wilaya nitampata huyo physical?ndio maanq nakudshauri uonane na daktari coz akipata medical history sahihi yeye atafaham upime vipimo vipi na vipi, ukisema tu uanze kuhangaika na vpmo kwanza utasumbk mno na kuingia gharama coz huna idea na mambo ya kimedical.......unaweza kuwa na minyoo,hiv,diabetes, cancer au ukawa tu na psychological issues so mkuu tafuta tu physician mzuri utapata suluhu wala usitumie shortcut za kwenda kupima tu moja kwa moja
cjui upo wapi but nenda tu ya mkoani wapo mkuuAsante sana, nikienda hizi hospitali za wilaya nitampata huyo physical?
Mkuu niko mkoani tangacjui upo wapi but nenda tu ya mkoani wapo mkuu
Sijui mkuu wacha niende tu nikapate ushauri zaidiWewe una msongo wa mawazo....au upweke unakukabili....
Unapesa?