Nahitaji msaada mwenye kujua ni namna gani naweza kupata video (footage)

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,124
80,989
Wazee wenzangu nahitaji msaada wenu kuna kitu naandaa ni kama documentary fulani, ila ili nifanye kitu cha uhakika na niwe na haki nacho itabidi nipate video halisi na si hizi za kupakua YouTube.

Nani anaweza kunieleza pa kununua na vipi kuhusu gharama zake?
 
Tafuta videos zenye common creative youtube pia zipo sehemu ya filter wakati wa kusearch.
 
Tumia pexels video zao zoote ni 100% royalty free
Nashukuru kwa mchango mkuu, labda nikudokeze kitu ninachotaka kufanya, let say nataka nizungumzie euro 2000, je pexels.com nitazipata zile game zake, mfano nataka kumzungumzia mtu kama steven gerrard je huko nitazipata, sababu nataka niweke youtube na pia nipeleke kipindi katika chaneli fulani, ambako huko walikipenda ila utata ukawa katika uhalali wa videos.
 
Tafuta videos zenye common creative youtube pia zipo sehemu ya filter wakati wa kusearch.
Nashukuru kwa mchango mkuu, labda nikudokeze kitu ninachotaka kufanya, let say nataka nizungumzie euro 2000, je nitazipata zile game zake, mfano nataka kumzungumzia mtu kama steven gerrard je huko nitazipata, sababu nataka niweke youtube na pia nipeleke kipindi katika chaneli fulani, ambako huko walikipenda ila utata ukawa katika uhalali wa videos.

Common creative na filter hebu nidokeze kidogo na kwa mfano.
 
Natumia freebasics subiri nitakuonyesha kwa mifano kwa idea yako hiyo baadae.

Kifupi contents zenye CC license ni public na mtu yoyote anaweza chukua pasipo tatizo.

Youtube wakatu wa kusearch kuna sehemy ya ku-fulter searches, hapo unaweza chagua youtube ilete videos zenye license ya Creative commons tu ambazo ni free kutumia hata huko youtube kwa channel yako.
 
Ahsante chief, nasubiri.
 
Ahsante chief, nasubiri.
Jinsi ya kupata videos zenye cc license ambazo ni free kutumia popote pale.

1. tafuta hiko kitu ambacho unataka kuona video zake. mfano uefa champions league 2019
cc license.png

Bonyeza sehemu button ya search, chini ya search box kuna icon imeandikwa FILTER kama unavyoona ukiangalia picha hapo juu.

2.Bonyeza FILTER, itakuja menu yenye muonekano ufuatao.
cc license 1.png

Hapo kuna option nyingi kwa ajili ya kufilter, sasa sisi tunataka video zote ambazo ni free kutumia zinazohusiana uefa champions league 2019, so focus yetu ni Creative Commons(nilipozungushia duara).

3. Bonyeza Creative Commons na zitakuja video zote ambazo ni ruksa kutumia popote pale ikiwemo channel yako ya youtube. Hizi ni baadhi ya video ambazo unaweza tumia.
cc license 2.PNG

kuna pia ya kufanya attribution kwenye video sifahamu nafahamu kwenye image ila unaweza jifunza zaidi hapa Creative Commons - Wikipedia na hapa pia CC Licenses and Examples - Creative Commons
 
Jinsi ya kupata videos zenye cc license ambazo ni free kutumia popote pale.

1. tafuta hiko kitu ambacho unataka kuona video zake. mfano uefa champions league 2019
View attachment 1277369
Bonyeza sehemu button ya search, chini ya search box kuna icon imeandikwa FILTER kama unavyoona ukiangalia picha hapo juu.

2.Bonyeza FILTER, itakuja menu yenye muonekano ufuatao.
View attachment 1277372
Hapo kuna option nyingi kwa ajili ya kufilter, sasa sisi tunataka video zote ambazo ni free kutumia zinazohusiana uefa champions league 2019, so focus yetu ni Creative Commons(nilipozungushia duara).

3. Bonyeza Creative Commons na zitakuja video zote ambazo ni ruksa kutumia popote pale ikiwemo channel yako ya youtube. Hizi ni baadhi ya video ambazo unaweza tumia.
View attachment 1277384
kuna pia ya kufanya attribution kwenye video sifahamu nafahamu kwenye image ila unaweza jifunza zaidi hapa Creative Commons - Wikipedia na hapa pia CC Licenses and Examples - Creative Commons
Shukrani mkuu, ahsante saana chief nitalifanyia kazi hili.
 
Back
Top Bottom