Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 178
- 149
ni kweli mkuu, lakini kwa mazingira niliyopo hao watu wenye knowledge ya saikolojia siwaoni. huwa nasikia tu kwamba kuna watu wanaofanya counselling, ila i dont know where i can find them kwa huku nilipo.Wenye taaluma ya saikolojia wanaweza wakakusaidia mkuu ...
nishapona!!!???Mbona ushapona sasa
Ona hii empty setNENDA HOSPITALI KWA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA
hahahah! jamaniOna hii empty set
kwa kweli nitashukuru sana kama niki recover. nilipofikia hii imenicost sana hata friends wengi nawaona wana mapungufu teleUshapona wewe ukiingia jf ujue matatizo yako yote yataisha......na mm nilikua hivo hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf ni dawakwa kweli nitashukuru sana kama niki recover. nilipofikia hii imenicost sana hata friends wengi nawaona wana mapungufu tele
Niliwahi kusoma kijitabu kinaitwa 'Young People Ask-Answers that Work', kiliongelea tatizo kama hilo, kwa jina la Perfectionism. Haya ya kutaka mambo yako yote aende kama unavyopanga, sababu deep inside akili inakwambia wewe ni a perfect person. So, kwa kuanzia, kama alivyosema Miss Chagga, wewe ni binadamu, and not being perfect is what makes us humans.Naombeni msaada,
Nimekuwa na shida hii toka zamani, huwa nikifanya mistake ndogo tu, nakuwa disappointed sana. Kuna wakati naweza nikakaa sina raha siku nzima au hata zaidi lakini jambo jenyewe linalonifanya niwe hivyo ni dogo sana ambalo hata mtu mwingine akisikia ananishangaa sana.
Kuna kipindi nilitaka niombe kupostpon masomo baada ya hali hiyo kuwa chronic. Nimejikuta mistakes ni jambo la kawaida lakini mimi kwangu ni changamoto sana, and i can't live a perfect life.
Sometimes ninapofanya mistakes huwa najikuta natumia pesa vibaya, siongei na watu, pia nawaona watu ya kuwa hawanijali.
Naombeni msaada niondokane na hali hii.
I AM TIRED OF IT BECAUSE IT LEADS ME INTO TROUBLE
dah! uperfectionist sio kbsMr perfectionist!! Upooo kamaa cema n nzurii hyooo katkaa ufanisiii unachotakiwaa kufanyaa n kujaribuu kujicontroll isikuumizee xanaa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
N mzurii mzee!!! M mwenywee nipoo hivyooo semaa wewe umezd kdgooodah! uperfectionist sio kbs