kama una vielelezo vya 'ndoa' na vielelzo vya manyanyaso hata mahakama za mwanzo waweza kufungua madai ya talaka japo huku utatakiwa ku-prove kwamba ndoa yako hairekebishiki (irreparable) baada ya kufanya suluhu kadhaa. talaka hatoi mume wala mke bali ni chombo cha sheria (mahakama au BAKWATA) so hata wewe unaweza ku-initiate process.