nahitaji msaada kutoka kwa bakwata

mimi nipo dar na nikimwambia naenda bakwata anasema nitawapa rushwa utakuwa hupati talaka sasa mimi nitaenda wapi kama itakuwa ngumu kupata hiyo talaka

Some sort of fabricated story made just in purpose to raise ******* towards BAKWATA or to activate debate on _______courts.

Sidhani kama una nia hiyo utaenda kumuaga on such a stupid way "mme wangu mie naenda BAKWATA kukushitaki". Hii inafananafanana na ile story ya Farid kutekwa nyara kwenye mikarafuu
 
Ni-PM plz nataka nipate namba zako nikuelekeze mtu wa kumuona pale Bakwata, kwasababu unayemhitaji ni wewe sitakiwi kuweka hadharani
 
kama una vielelezo vya 'ndoa' na vielelzo vya manyanyaso hata mahakama za mwanzo waweza kufungua madai ya talaka japo huku utatakiwa ku-prove kwamba ndoa yako hairekebishiki (irreparable) baada ya kufanya suluhu kadhaa. talaka hatoi mume wala mke bali ni chombo cha sheria (mahakama au BAKWATA) so hata wewe unaweza ku-initiate process.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom