BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Wakuu
Kuna ambaye amewahi kukopa UTT Microfinance kupitia umiliki wake wa vipande au share alizonazo DSE? Naombeni kufahamu interest yao ni asilimia ngapi
Asanteni